Julitha Kabete (21)  alichaguliwa mwaka jana na kampuni ya aliye kuwa Miss Tanzania Hapiness Magesse kwenda kushiriki Miss Africa 2016 ambapo alishika nafasi ya 5, mwaka huu amebahatika tena kuchaguliwa na kamati ya Miss Tanzania kwenda kutuwakilisha katika mashindano ya Miss World 2017/2018.

Julitha ameonekana kutajwa katika list ya Miss World kama mshiriki ambae ataiwakilisha Tanzania katika Miss World 2017/2018

hii inamaanisha hakuto kuwa na mashindano ya Miss Tanzania mwaka huu maana wamesha teua atakae wakilisha Nchi katika Miss World, Je haya mashindano ya vitongoji yaliyo anza yataishia wapi? vigezo gani vimetumika kumchagua Julitha? Je zawadi zake za kuwa Miss Tanzania atapewaje? maswali yapo mengi ambayo hayana majibu ni kizungu mkuti. Kila la Kheri Julitha na hongera kwa kuteuliwa

Julitha Kabete Kuiwakilisha Tanzania Katika Miss World 2017/18

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com