Karrueche Tran muigizaji lakini pia ni mwanamitindo kutoka ulaya. ambae amekua maarufu kupitia mpenzi wake wa zamani na mwanamuziki Chriss Brown, Karrueche na Chriss wamekua na mtindo wa kuachana na kurudiana kwa muda mrefu lakini wakati huu inaonekana mambo yamekua mazito kidogo, mara kwa mara Karrueche na Chriss wame kua wakiachana kwa sababu tofauti tofauti ikiwemo Chriss kutembea na Rihanna lakini safari hii wameachana kutokana na kwamba Chriss ana mtoto wa nje. Je Karrueche kaamua kuishi maisha yake?
Karrueche ameonekana akiwa na Winga wa kimataifa wa Uholanzi anayekipiga katika klabu ya Manchester Memphis Depay ambaye amejiunga na klabu ya Manchester United katika majira ya usajili yaliyofungwa mwezi August mwaka huu akitokea klabu ya PSV Eindhoven ya Uholanzi.
223
Kwa sasa Karrueche Tran yupo karibu sana na staa wa klabu ya Manchester United Memphis Depay kitu ambacho kinafanya wengi wajiulize maswali kuhusiana na ukaribu huo. Depay na Karrueche Tran wameonekana pamoja wakiwa sehemu kadhaa kama Club LIV. Hii sio mara ya kwanza kwa Depay kuonekana akiwa pamoja na Karrueche Tran kwani waliwahi kuonekana katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa msimu huu.
2CDED5CD00000578-0-image-a-54_1443468846612

2CDF3DD400000578-3252567-image-a-71_1443469920752

KARRUECHE TRAN NA MPENZI MPYA?

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com