Atlast una weza kumtuma nduguyo aliyeko South Africa akununulia original Yeezy bila kuwa na hofu ya kuletewa Fake, yeah kwa wale wanao penda kuvaa designers brands  hii habari njema kwenu, Kanye ana tarajia kufungua maduka 21 katika baadhi ya nchi ambapo Maduka hayo yatakuwa kwa muda tu (pop up shops).

kupitia mtandao wake wa Twitter, Yeezy ameandika, “21 PABLO STORES WORLDWIDE THIS WEEKEND LOCATIONS HERE.”

Kemboi-1

akionyesha hio Ramani ya Dunia na una weza kuona alama nyekundu katika Ramani Ya Africa, Pale ni South Africa, Nchi nyingine ambapo maduka yake yatapatikana ni pamoja na  Uingereza, Berlin, Amsterdam, Atlanta, Boston, Chicago, Dallas, Detroit, Houston, Las Vegas, Singapore na nchi nyingine nyingi.