Siku Hizi ni biashara biashara biashara kama una jina kubwa basi fanya kutengeneza kitu cha kwako na watu wata nunua, mwanamuziki Katy Perry ame amua kuja na shoe line yake na amesha fanya preview ya viatu hivyo

katika kufanya preview ya viatu hivyo Katy alivaa red suit na yellow shoes ame pendeza mno

katy-perry_photo-shoe-launch-emanuel-ungaro-2-456x600 katy-perry_photo-shoe-launch-emanuel-ungaro-3-400x600

viatu vitakavyo kuwa katika shoe line yake hio ni pamoja na sandals, sneakers, stilettos na pumps designed to reflect Perry’s bold.