Darling Hair

Kendall & Kylie Jenner ambao wana sifika kwa kazi zao mmoja akiwa mwanamitindo mkubwa na mwingine mjasiriamali wameingia katika vita nzito dhidi ya mama wa B.I.G Notorious kutokana na kutumia picha ya B.I.G na 2 pac shakur bila ya ridhaa ya familia za wanamuziki hao maarufu ambao ni marehemu kwa sasa.

Mama wa B.I.G alichukua muda wake kuandika haya katika ukurasa wake katika mtandao wa Instagram

Kendall na Kylie wameamua kuondoa T-shirt hizo katika bidhaa zao na kuondoa picha za B.I.G na 2 Pac lakini pia wote wawili walichukua muda wao kuomba msamaha na kuandika yafuatayo katika kurasa zao za twittter

matukio haya ya kuchukua vitu bila ridhaa za wenye bidhaa yamekuwa yakiwakumba sana wana dada hawa wa The Kardashian mwaka huu ikiwepo la Kylie kushtakiwa kuiba idea za watu, pamoja na Khloe nae kushtakiwa kwa jambo hilo hilo.

Kendall & Kylie Jenner Kuondoa T-shirt Zenye Sura Ya 2 Pac Na B.I.G Katika Bidhaa Zao

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com