Kendall na Kylie na wasichana wadogo wenye mafanikio makubwa kutokana na biashara zao, kama wakiendelea hivi hatuto shangaa wakija kuwa wana miliki ma bilioni ya fedha miaka michache ijayo.

10-Celebrity-Stylist-MakingWaves-Monica-Rose-Kendall-and-kylie-jenner-408x600

Kendall na Kylie ambao wame toka katika familia kubwa maarufu ya The Kardashian waliungana kuunda kampuni yao ya nguo inayo itwa Kendall + Kylie lakini kwa sasa wame amua kukuza wigo wa kampuni hio na kuongezea bidhaa ya mapochi ambapo kwa mara ya kwanza watatoa ma pochi 18 tu ambapo mapochi hayo yatauzwa kuanzia $75 hadi $450 anza kujichanga sasa hivi maana hivi karibuni mzigo utakuwepo sokoni.

bahati nzuri ime patikana picha ya mchoro wa kwanza wa handbag hizo

Fashion-News-Kendall-and-Kylie-Jenner-Set-To-Debut-New-Handbag-Line-This-Fall-1-530x520

KENDALL NA KYLIE WAONGEZA BIDHAA HII KATIKA KAMPUNI YAO

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com