Khloe Kardashia ni Cover girl wa gazeti la Shape litokalo May mwaka huu, na kuona tu cover tushapata hamu ya kuliona hilo gazeti, katika mahojiano na gazeti hilo Khloe ame sema alichoshwa kuitwa “the fat one” ana sema baada ya yeye na Lamar kuachana ali kua depressed watu walimshauri anende therapy na lakini yeye aliamua kwenda gym na huko ndipo alipo upata huu mwili wa sasa ambao wengi tunautamani ameongelea mengi una weza kusoma zaidi www.shape.com

khloe-kardashian-shape-may-2016-2

Make Your Health a Priority—No Buts

“When Lamar and I broke up [in 2013], I had all these emotions that I didn’t know what to do with. Some people suggested therapy, but instead I joined my local Equinox gym, where I’d get on an elliptical and watch bad reality TV. As a result, I started losing weight. Once I realized I could shed some pounds that way, I began working out regularly with my trainer, Gunnar Peterson, and I made a commitment to get healthy. He taught me that the trick to staying motivated is to find what you really love to do. We did cardio, calisthenics, circuit training, Pilates, and boxing.”

khloe-kardashian-shape-may-2016-667x1000

Comments

comments