Klyie Jenner (18) mdogo wa The Kardashian’s jana katika kurasa zake za mitandao ya kijamii alitoa au kuonyesha picha mbili ambazo zinatakiwa kuwa cover kwa ajili ya gazeti la Elle canada mwezi wa kumi na mbili mwaka huu, Kylie alitoa picha hizo na kuwa omba mashabiki wake wachague moja tu ambayo ndiyo itakua cover ya gazeti hilo katika mwezi huo.  Muda wako ni sasa mchakato huo unafanyika katika mitandao ya kijamii (social networks) twiiter na istagram

Kylie-Jenner-Elle-Canada-Cover-2015-december Kylie-Jenner-Elle-Canada-Cover-2015-december-1