Umesha wahi kukaa na kujiuliza kwanini wakubwa huwa wana subiri wadogo waanze halafu wao ndio wamalize? hatujawai kuelewa hili ni kwamba wao wanapenda kuonamafanikio ya wadogo kwanza kabla ya wao au? Well dada mkubwa wa kwanza lakini yeye ndiye mwenye mwili mdogo kuliko wote Kourtney Kardashian amezindua Clothing line yake inayo itwa pretty little thing (inaendana na umbo lake mwili mdogo halafu ka pretty Hayo ni mawazo ya afroswagga)

Katika clothing line hiyo kuna pieces 32, ambazo ni sequin dresses, faux fur jackets na sparkly biker shorts, well zitavalika maana biker shorts are in the fact that kawa creative na kuongeza ming’ao watanunua 

we love us some of this jacket & biker shorts

 

Taking night dress to to the club Yes Kourtney Push through

Well hii ni collaboration na pretty little Thing na kuweza kununua bonyeza hapa 

 

Comments

comments