Anaitwa Sean Andrew ni mjukuu wa aliyekuwa Rais wa Kenya Mwai Kibaki, Sean Andrew ni model chini ya Vogue model agency, Ukiachana na kuwa babu yake ni Rais Sean ana fanya kila awezalo kuhakikisha ana timiza ndoto zake

Meet-Sean-Andrew-Former-President-Mwai-Kibakis-Grandson-7 Meet-Sean-Andrew-Former-President-Mwai-Kibakis-Grandson-8Okay Ladies macho yasiwatoke sana ana mchumba wake ambae ni Vlogger anaitwa ElodieZone ina ruhusiwa kutamani lakini lol

Meet-Sean-Andrew-Former-President-Mwai-Kibakis-Grandson-styleyetu

Meet-Sean-Andrew-Former-President-Mwai-Kibakis-Grandson-styleyetu2