Mashindano ya Miss Universe Tanzania Yalianzishwa mwaka 2007 ambapo yameendelea mpaka sasa na yameleta warembo wengi ambao wana tuwakilisha vizuri ndani na nje ya nchi. Mwaka jana ushindi alichukua Nale Boniface ambae amemuachia taji Lorraine Marriot usiku wa kuamkia leo.

Lorraine Marriot aliwahi kuwa miss Grand International 2014, kwa uzuefu huu tunahisi atatuwakilisha vizuri tarehe 20/12/2015 huku Las Vegas ambapo yata fanyika Miss Universe World Wide

WAREMBO-V

Washindi tatu bora, Lilian Loth (mshindi wa pili kushoto), Lorraine Marriott (mshindi wa kwanza katikati) na Willice Donald (mshindi wa tatu kulia)
DSC_0276 DSC_0325

FINAL-II

Source: MillardAyo.com

 

Comments

comments