Ni mara ya pili kwa mwanadada kutoka Kenya Bi.  Lupita Nyong’o kulipamba gahazeti la Vogue ambalo litatoka mwezi wa kumi. Lupita ni mcheza filamu/ muigizaji kutoka Kenya. Alianza safari yake katika Tamthilia iitwayo Shuga kutoka Kenya mwaka 2009-2012 lakini mwaka 2013 ndipo nyota yake ilipo anza kung’aa zaidi alipo fanya filamu ya 12 Years Of Slave hii Filamu ilimpa Tuzo kubwa zaidi duniani Tuzo za Oscar. Leo hii amekua mwana filamu mkubwa duniani anaeiwakilisha Kenya,Africa Mashariki na Africa kwa ujumla.  Baadhi ya picha za Lupita katika Gahazeti hilo.

lupita-3-600x800
lupita-2-600x800
lupita-600x800
lupita-nyongo-vogue-cover-october-2015-06-605x800
lupita-nyongo-vogue-cover-october-2015-04-599x800
LUPITA NYON’GO KULIPAMBA JARIDA LA VOGUE

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com