Katika huu ulimwengu wa technology unaoendelea sasa sote tuna tafuta namna ya kuwafikia watu wetu kwa karibu, iwe wateja, familia, maduka, nk, kwa kuliona hili mbunifu Sheria Ngowi amekuleta Sheria Ngowi App ambapo utapata habari zake za kina na uhakika kupitia simu yako ya kiganjani.

Kupitia account yake ya Instagram alipost hii picha na kuandika maelezo yafuatayo

 

 

Tumependa tunacho kiona. unaweza kudownload app yake kwa kuingia google store na andika SHERIA NGOWI APP utaipata.