Wiki iliyo pita mwanadada Hudda Monroe kutoka Kenya ambae ni mwanamitindo pia ni mbunifu wa mavazi ambayo yanaitwa Huddah clothing alikuja Tanzania, kwa ajili ya show  ambayo ilifanyika  huko jijini Mwanza, Huddah kama kawaida alivalia kivazi chake hatarishi ambacho kilikua kinaonyesha sehemu kubwa ya viungo yake.

huddah

Jana katika ukurasa wa Instagram wa Braids Gang ambao una husiana na maswala mbali mbali ya mitindo ikiwemo mavazi na nywele wali post nguo ambayo ni sawa na ile aliyo valia huddah na haya ndo maoni ya watu kuhusu kivazi iko

braidsgang