Hakuna lishindikanalo kutoka kwa M/Mungu alisema “Omba Utapewa” sote tunajua Happiness amekua akitafuta mtoto kwa muda mrefu kutokana na maradhi yake ya¬†endometriosis akawa ana shindwa kupata mtoto lakini inaonekana maombi yake yamejibiwa na ame tusuprise kwa kutupia picha akiwa na mwanae,

amekua kimya kwa muda lakini kwa sasa tunajua kwanini. Happiness amemuita mwanae Kairo Michael Magese ambae amezaliwa tarehe 13/7/2017 Hongera Happiness

Mwanamitindo Happiness Magese Ajifungua Mtoto Wa Kiume

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com