14474069_1641616549472595_6693970916117839872_n

The wait is over! Onesho lililokuwa likisubiriwa na tulio wengi hatimaye siku imewadia. Sanaa Fashion Show itafanyika Jumamosi hii (tarehe 24 Desemba) Katika kijiji cha makumbusho (Village Museum) kilichopo Kijitonyama.

Kwa kiingilio cha Tsh 10,000 na Tsh 20,000 tu utakuwa miongoni mwa watu watakaoshuhudia show hii ya aina yake.

NI WAKATI WA SANAA FASHION SHOW

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com