Nike just outdid them selves, baada ya muda mrefu wa kususbiri na kulalamika seems like wabunifu wameanza kupata picha na kuamua kufanyia kazi maombi ya watu, thanks to all the women out there eidha wawe plus sized au muslim kwa kupiga kelele mpaka wabunifu kusikia kilio chao. Hivi karibuni kampuni kubwa ya mavazi ya michezo NIKE wame launch clothing line mbili

Moja ikiwa ni ya hijab for Muslim female athletes, hii ni kwa wana michezo wa kiislam ambapo nguo hizo zina hijab juu yake kwa ajili ya kuficha nywele

Lakini pia wame lunch nguo kwa ajili ya plus sized women kwa ajili ya kufanyia mazoezi, well this si so helpful kwa both sides maana kote ilikuwa hectic kupata mavazi hayo

Je wewe unaonaje kuhusu mavazi haya tuambie kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter -m afroswaggatz

Comments

comments