Kylie Jenner na mpenziwe Tyga wamekuwa hawa eleweki  katika mahusiano yao, miezi michache iliyo pita Tyga alisemekana ku-msaliti Kylie lakini Juzi katika kipindi cha Cocktail with Khloe ambacho ni kipindi kinacho endeshwa na dada wa Kylie, Rapper Tyga alimwambia shemejie kwamba ana mpenda mdogo wake na ana taka kumuoa.

Cha ajabu ni kwamba Kylie ame onekana kuwa na mtazamo mwingine wa maisha yake ambapo ameamua kujipenda mwenyewe kwanza kwa mwaka huu,Kylie ameandika haya katika website yake

kylie-jenner-tyga-breakup-1024x681

“I feel like I’ve been in a relationship for, like, six years. I have just gone from one person to the next,” the reality star confessed on Jan. 28. “I was dating someone for, like, three years — 14, 15, 16 and a little bit of 17. Then I went into another relationship at 17, 18, and now I’m just like…I feel like I really need to find myself this year and have a relationship with myself, because I don’t know what it feels like to be by myself. I feel like you need to love yourself before you can love anybody else.”

Swali ni je wameachana au nini kina endelea?