American Rapper,singer, song writer Pharell Williams  amekuwa a fan wa brand ya mavazi Channel kwa muda sasa akiwa ana vaa cheni kutoka kwao lakini pia ame wahi kuonekana katika run way’s za Chanel huko Paris,

Na hivi karibui Channel wame mtangaza Pharell kuwa mwanaume wa kwanza kutokea katika campaign ya handbag za channel “It’s crazy,” Pharrell explained about starring in the campaign. “Who knew if you just follow what it is that you’re curious about, it may make sense for you one day – and in a major, major way. I just never dreamt that I would ever be considered in this way, and given all these opportunities.”

Campaign hii itakuwa debuted April 3 ikiwa feature watu maarufu kama Kristen Stewart, Cara Delevigne, Caroline de Maigret na Pharell mwenyewe

Comments

comments