Nini kimetokea ndicho ambacho watu wengi wame jiuliza jana baada ya miss universe kuisha, show ilienda sawa palitokea mtafaruku tu pale alipo tajwa mshindi ambae  sio, Steve Harvey muigizaji na mchekeshaji ndio alikua host katika sherehe hio bahati mbaya akamtaja miss Ariadna Gutiérrez kutoka columbia ndio mshindi badala ya Pia Alonzo.

miss-universe-pia-alonze-wurtzbach-preen

Pia Alonzo Wurtzbach ana miaka 26, ni actress pia ni model kutoka philipiness

Masikini akavishwa taji lakini baadae waka badilisha na kumtaja miss philipiness ambae hata hivyo kwa maoni ya wengi wanasema hakustahili. angalia video chini kijionea tukio zima

https://www.youtube.com/watch?v=Z9aRmmWX5XI