Jumapili ilikuwa njema kabisa kwetu sisi wana mitindo huku tukiangalia Miss Universe tukirudi huku tuna kutana na Red Carpet ya  Screen Actors Guild Awards  ambayo iliwa jumuisha mastaa kibao kutoka Hollywood, huku kila mtu akitaka kupendeza kumzidi mwenzie, na hawa ni baadhi walio kuwepo katika red carpet hio na mitoko yao

Gina Rodriguez

Giuliana Rancic

Viola Davis

Emma Stone

Janelle

Salma Hayek

Kerry Washington

John Legend na mkwewe

Felicity Huffman

 

Maisie Williams

Taraji P. Henson

 

Uzo Aduba

Comments

comments