Mwanamuziki, Muigizaji, mfanya biashara, Slayer na fashion icon Rihanna amekuja na hii collection yake mpya akiwa amefanya collaboration na kampuni ya Stance, hii sio mara ya kwanza kwa Rihanna kufanya kazi na kampuni hii. Mara hii amechagua kuchukua zile outfit zake zinazo kumbukwa zaidi au labda yeye anazipenda zaidi na kuziweka kwenye socks hizo, Jina alilo lipa collection hii ni Iconic Collection 

Hizi outfit zake mbili ni memorable katika red carpet look zake,

CFDA Fashion Awards

 

2016 met gala

wakati hizi ni outfit za katika music video zake


Werk Werk Werk

Comments

comments