Rihanna Na Kampuni ya Manolo Blahnik wamekuwa waki- collaborate katika kutoa Collection za viatu ambazo zinaitwa Rihanna X Manolo Blahnik, Hii ni Collection yao ya tatu na ya mwisho (labda kama wataingia mkataba mwingine.) Kuona Collection yao ya pili bonyeza hapa

We eye cached hivi viatu katika video mpya ya Dj Khaleed Ft Rihanna inayo itwa Wild Thoughts,

Rihanna amevivaa na ali hakikisha kutuambia kwamba ni viatu kutoka kwa Manolo lakini bila kusema kama ni collection yao mpya, well now we know

 

Collection hii inategemewa kutoka tarehe 6 July 2017 ambapo kutakuwa na style nne za sandals zote zikiwa na crystals na PVC

Well tunadhani ndio maana hii collection imeitwa So Stoned kutokana na hizi Crystals zilizo wekwa humu

we love every bit of this collection

Rihanna & Manolo Blahnik New Collection “SO STONED”

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com