Rihanna bado ana tengeneza hela kupitia bidhaa mbali mbali uko barani Ulaya, akiwa amesha fanya nao kazi mbili na hii ya tatu wana kuletea collection mpya kutoka kwa Rihanna na Kampuni ya Socks itwayo Stance ambayo itakua released kesho
katika hii collection kutakua na design 19 ambazo ni mchanganyiko wa tomboy na sexy doll socks, ikiwa kuvaa heels na socks ndo moja ya trend mjini lazima wadada wataipenda hii
angalia trailer ya collection hio chini
Related posts
HOT TOPICS
Martin Kadinda Debuted She Gentle Collection At Swahili Fashion Week: Mbunifu Martin… https://t.co/BBAefWm0Al
FollowNjia Za Kujali Handbag Yako Idumu Muda Mrefu: Kama ambavyo unaweka cover na protector… https://t.co/rYXOb7PBbX
Follow#SwahiliFashionWeek2019 Lundi and Sons Collection #SwahiliFashionWeek2019 https://t.co/1sgnuYbDen
Follow
FOLLOW US!