Na yule ni wimbo wake uliotambulisha kwenye ramani ya muziki wa kizazi kipya, lakini wimbo wake wa Forever ni wimbo ulimjengea mizizi mizuri kwenye muziki huu wa kizazi kipya.

Ruby alishindwa kuzuia furaha yake juu ya Peroni Fashion Night iliyofanyika Cape Town Fish Martket Masaki, ambaye hakusita kuweka wazi furaha yake mbele ya Afroswagga Magazine.

unnamed

Ruby ameiambia Afroswagga ambapo amesema “ Ipo fresh iko vizuri wamejipanga  sijaona kibaya chochote ambacho kimeenda vibaya. Pia wamefanya kazi na mtu ambaye ni mtu maarufu ambaye yuko vizuri kwenye kudesign ambaye ni Ally Remtula na watu wengine pia, so wamefanya vizuri.