Selena Gomez (23) ambae ni muigizaji na pia ni mwanamuziki kutoka  Hollwood,  Selena ambae hivi karibuni amepata Interviews nyingi katika magazeti,redio na television kutokana na ujasiri alio kuwa nao baada ya kusemwa vibaya na mashabiki wake kwamba amekua mnene na kusababisha kufanya kila aliwezalo kurudi katika hali yake ya kawaida. Na sasa kila mtu ana taka kujua ni nini amefanya na hatua ipi amefikia na Selena anaongea kila kitu Bila kuficha kitu katika mahojiano yake na REFINARY29.

selena-gomez-for-refinery29-1 selena-gomez-for-refinery29-2 selena-gomez-for-refinery29-3 selena-gomez-for-refinery29-4 selena-gomez-for-refinery29-5 selena-gomez-for-refinery29-6 selena-gomez-for-refinery29-7