Jina lake kamili ni Serayah McNeill ameonekana kwenye tamthilia inayo itwa Empire kama Tiana Brown, Ametokea katika Gazeti la Bellomag mwezi huu tulicho penda zaidi ni msichana wa miaka 20 kuvalishwa kizamani na kuwekwa staili ya nywele ya afro baadhi ya picha zilizomo kwenye gazeti hilo.

soraya soraya2 soraya3

soraya5

Comments

comments