Maneno ya mtaani ni kwamba bibie Lupita Nyong’o (32) mkenya alieshinda tuzo ya Oscar kupitia Filamu iitwayo 12 Years a Slave ana weza kuonekana katika Jarida la VOGIE mwezi wa kumi 2015.

lupita-nyongo-chanel-necklace

Ina weza ikawa ni Historia ya kwanza katika mitindo Vogie kuweka wanawake wawili weusi katika majarida yao kwa mwaka ambapo wa kwanza akiwa Beyonce katika jarida la mwezi huu.

imrs.php

UVUMI: LUPITA NYONG’O KATIKA VOGUE

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com