Hata miezi haijapita toka wabuni rompers kwa ajili ya wanaume sasa mbunifu Thom Browne amekuja na collection yake inayoitwa Gender Neutral Spring/ Summer 2018 (yaani ni kwamba hizi nguo zinaweza kuvaliwa na jinsia zote ya kike na kiume) , katika hii collection wanaume wamevalishwa dress shirts, tunics, maxi dresses na skirts zikiwa zime maliziwa na pointed heels ambazo ukiziangalia muonekano wake wa mbele ni kama kiatu cha mwanaume.

Kuvaa nguo za kike sio concept mpya kwa wenzetu wa western lakini kupanda nayo jukwaani na collection kuitwa neutral ni kitu kipya kwetu kwamba mwanamke na mwanaume wote wanaweza kuvaa kweli “haki sawa kwa wote”. Tunataka kujua maoni yako je hii iko sawa au tunavuka mipaka?

 

Wabunifu Na Tamaa Ya Kuwavalisha Wanaume Nguo Za Kike

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com