Kila tunapo pata muda huwa tunapenda kutembelea blogs nyingine well kujua nini kina happen, kujifunza nakadhalika na leo tulikua kwa Missie Popular Blog, Hello Missie katika articles zake za hizi karibuni Missie ameandika kuhusu Wabunifu kutoka Tanzania na jinsi wanavyo potea kwa ku copy vya wengine au ku copy wenyewe kwa wenyewe kitu ambacho ni kweli 100% creativity imekwisha kabisa kwa sasa lakini katika hio hio article ikaibua swala lingine kwetu, Wabunifu wa Tanzania nini kime wapata kwa maana sasa hivi collection zao kuziona ni mpaka katika swahili fashion week.

miaka ya zamani japo kipindi hicho bado hatukua afroswagga lakini unapo penda kitu utapenda kujua histori yake right miaka michahe nyuma tulikua tunaona events za wabunifu waki introduce collection zao mpya ilikuwa kitu kizuri sana as hata mtu akivaa ni rahisi kujua hili vazi limr toka katika collection fulani ya mbunifu fulani lakini kwa sasa utaona collection ya mbunifu kukiwa na swahili fashion week au kuna tamasha lime tokea na tena huto iona tena na wengine wana thubutu kutumia collection hio hio moja katika matamasha zaidi ya mawili utaiona swahili fashion week Tanzania, utaiona Uganda utaiona Kenya hii ina tufanya tuzidi kujifikiria hii Tasnia nayo inaelekea kupotea?

Tupe maoni yako hapo chini au kupitia Email ama Social networks

Comments

comments