Willow Smith mtoto wa Willy na Jada Smith amekaribishwa katika ulimwengu wa mitindo hivi karibuni baada ya kusainiwa na kampuni na kampuni ambayo ana ifanyia kazi pia Kendall Jenner.
03-willow-smith

Haitushtui msichana huyu mdogo kupawa mkataba ya kuwa mwanamitindo kwa maana ni kitu ambacho kipo ndani yake tokea siku ya kwanza tukiangalia nyuma katika red carpet mbali mbali Willow hakuwahi kukosea.
01-willow-smith

04-willow-smith

Willow ni mwanamuziki aliwahi kutamba na kibao chake kiitwacho “I Whip My Hair”

06-willow-smith

WILLOW SMITH KUFUATA NYAYO ZA KENDALL JENNER

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com