Usiku wa Style & Fashion ndio tuliokuwa tunausubiri hasa kujua kina nani watapanda kwenye majukwaa ya Sanaa Fashion 2016. Hatimaye jana tukapata kufahamu kitendawili hiki kilicho kosa majibu kwa kitambo kidogo. Ilikuwa jana pale Atriums Hotel ambapo tulipata kushuhudia warembo na mahandsome kwenye ubora wao kila mmoja akijitahidi kuonyesha uwezo wake wa kucat walk. Lakini pia wabunifu walijitahidi kutuletea collection nzuri na za kuvutia.

Hakika majudge walipata wakati mgumu katika kufanya mahamuzi yao, lakini hatimaye walifanikiwa kupata Kinadada 10 na Kina kaka 8 ambapo watakuwa mamodel kwenye #SanaaFashio2016 onyesho linalolenga kuinuna vipaji vipya vya models pamoja na wabunifu.

Tazama baadhi ya picha za matukio yaliyojiri katika usiku huu wa Style and Fashion.

1 2 3 4 5 6

Yaliyojiri katika usiku wa Style & Fashion

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com