Inaonekana ujasiriamali umeanza kuwa ingia wasanii wengi si tu nchini bali hata nje pia, Msanii wa muziki kutoka Nigeria ambaye aliwahi kutamba na kibao cha jonhy Bi. Yemi Alede jana amezindua vito vyake vinavyo enda kwa jina la Yemi collection. Yemi  amezindua vito hivi pamoja na video ya  wimbo wake mpya uitwao Nagode.

Yemi vito hivi vinauzwa katika kampuni itwayo bland2glam ambayo ina safirisha vito hivi nchi yoyote duniani.

1 2 3 4 5 6 yemi