Leo katika zurura zurura yetu tukakutana na mama diamond, yaani mama wa mwanamuziki Diamond Platnumz akiwa ana nywele nyekundu ambazo zimempendeza sana, tukatoka hapo tukawa tunaendelea na mizururo tukakutana na mwanamuziki paka rapper au youngD nae akiwa katika nywele nyekundu ikabidi tujiulize red hair zina taka kuingia kwenye trend? hatuwezi kuuliza nani kapendeza zaidi ila jionee ambavyo wawili hawa wame rock the red hair

mama Diamond

fgk hgc ui

Young D

12905095_1609054402747110_995954741_n 12907380_954505811330844_529865543_n 12965928_1721006814824424_718563970_n

Comments

comments