Miezi miwili mitatu nyuma staili ya nywele za rangi ya grey ilikua ipo kwenye kiki na sasa tumeanza ku notice style nyingine ambapo nusu ya watu maarufu wameiwekea/kushonea kichwani mwao. Hii style bado haija patiwa jina lakini ni nusu rangi ya nywele nyeusi na nusu gold au zambarau. Baadhi ya watu maarufu tulio waona wakiwa na hio style

AUNTY

 

Aunty Ezekiel

KAJALA

KAJALA2

Kajala Masanja akiwa katika style zote mbili yaani gold/zambarau na nyeusi

LINAH

Linah Sanga

LULU

 

Elizabeth Michael

WEMA

Wema Sepetu

ZARI

Zari

DIVA

Loveness Diva