Tumeziona Kwa Mara Ya Kwanza Kutoka Kwa Mwanamuziki Hadiza Blell A.K.A Di’Ja,Kutoka Nigeria… Di’ja Ame Rock Colorful Ankara (Kitenge) Braids Ambazo Zinaonekana Zinakuja Kuwa Katika Trend.

 

hiki ni kitenge kina Kijani na ranging nyingine nyingine

Di’ja Ame chukua muda wake kutuelezea kuhusu rasta hizi na nani aliye msuka

Tunaona Vee Money Wetu Ka Like Je Tutegemee hii style kutoka kwake pia? (time will tell)…

 

Tumetembelea Account ya msusi na hizi ndizo style nyingine tulizo zikuta. Kwako imekaaje hii? Je utasuka?

Style Mpya ya Rasta za Kitenge kutoka kwa Di’Ja

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com