Mwaka jana alikuwa mshindi wa best dressed men in Tanzania (Afroswagga best dressed men in Tanzania), tukiwa bado tunaendelea kuangalia mwaka huu atatoboa au lah, Idris amekuja na muonekano mpya ame amua kufuga ndevu na kuweka bleach ndevu zake zime kuwa za brown

Idris ni kama ana mchannel yule muimbaji kutoka Nigeria Jidenna aliye imba classic men

Tumependa outfit hapa, as usual Idris looked Dapper in this outfit na tume notice ana new scarf (red scarf)

Je mme penda muonekano mpya wa Idris our fashionista’s? tuambie kupitia mitandao yetu ya kijamii au achia comment yako katika box la comment.