Tunapenda red carpet sababu huko tunapata kuona mitindo mbali mbali na kujua nini kina trend katika fashion world hasa high end fashion, Tony awards zime fanyika jana na hizi ndizo tulizo zipenda kutoka kwenye awards hizo

Denee Benton in Oscar De La Renta Dress

Condola Rashad in Vivienne Westwood and Fred Leighton jewelry

Alek Wek in Oscar de la Renta

Cynthia Erivo in a Chris Gelinas gown and Fred Leighton jewelry

Eva Noblezada

Anna Kendrick in Miu Miu

Cynthia Nixon in a Rosie Assoulin gown and Fred Leighton jewelry

Chrissy Teigen

Olivia Wilde in Michael Kors Collection

Scarlett Johansson in a Michael Kors Collection gown and Fred Leighton jewelry