Viatu ni moja ya urembo ambao kila mwanamke ana upenda, iwe kirefu,kifupi,cha kufunika au hata mguu wazi ali mradi ni kiatu na ni kizuri basi mwanamke atakipenda.

Je wanawake wapo tayari kwenda umbali gani katika mapenzi yao na viatu? ni ngumu kumuuliza mmoja mmoja au kupata maoni ya kila mmoja wao lakini ni rahisi kwa kuangalia wanawake walio maarufu wanao penda viatu vizuri na ukajua ni kiasi gani wana wake wana penda viatu.

Leo yupo Elizabeth Michael, Agness Masogange Na Linah Sanga

index

lulu4

Hiki kiatu kilicho valiwa na Elizabeth Michael kilituvutia na ikabidi tukiangalie online kinauzwa kiasi gani, kinauzwa USD 39.99 sawa na Tzs 87178.20 za kiTanzania

44 LINAH

Hiko kiatu kilicho valiwa na Linah Sanga nacho kilituvutia kinauzwa USD 27.99 online sawa na Tzs 61018.20 za Kitanzania

33 AGNESS

Hicho kiatu alicho vaa Agness kinauzwa USD 75 online sawa na TZs 163500 za kiTanzania

Kwa kuangalia tu hizo bei za viatu inaonyesha jinsi gani wanawake wanapenda viatu kwa sababu kama kitu hukipendi huwezi kukinunua kwa bei ya juu hivyo

NB: bei inaweza kubadilika kutokana na duka/mahala ulipo angalia

 

 

 

Comments

comments