Tanzania ni Nchi ambayo ime barikiwa na vitu vingi amani, watu wa karimu, malia sili lakini pia watu wake wame barikiwa vipaji. Kati ya watu wengi wanye vipaji kuna wachache ambao wame amua kufanyika kazi vipaji vya na kati ya hao yupo binti mdogo aitwae Enare. Enare ana tengeneza vitu vya kiafrika ikiwemo urembo wa shanga, nguo zinazo tumia material ya kiafrica na mikoba. Leo katengeneza mkoba kutumia material ya kikoi na tumependa unaweza kumfuata katika ukurasa wake wa Instagram kuona vingi zaidi @queen_enare.

4 MKOBA MKOBA2

Comments

comments