SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

2 Times Fashionista Lavidoz Styled Her 1,650,390/- Christian Louboutin White Pumps
Mitindo

2 Times Fashionista Lavidoz Styled Her 1,650,390/- Christian Louboutin White Pumps 

Kila mwanamke ana hitaji some good pair of shoes, na wanawake wengi wana mapenzi makubwa katika viatu kuna msemo unao sema ” Give a woman te right shoes and she can conquer the world”, Moja kati ya wanawake ambao wanapenda viatu sana ni Lavidoz tumesha angalia interviews zake kadhaa ambapo amekuwa akikiri mapenzi yake katika viatu.

Hivi karibuni Lavidoz ali sheherekea birthday yake na ali turn 30 in Christian Louboutin heels amabazo zina thamani ya $725 sawa na Tzs 1,650,390/-

Viatu hivi vili catch attention yetu kwa maana mara nyingi wengi wanaoenakana kuvutiwa na pumps za nude au black like nyeupe ni  mara chache, tulipenda kwamba Lavidoz chose white pumps over her nude’s one’s.

Katika photoshoot ya birthday yake Lavidoz alivaa viatu hivi na yellow dress ilipendeza sana tumependa jinsi ambavyo amechagua kuwa colorful, 3o & colorful

Mara ya pili Lavidoz alichagua kuwa chic casual kwa kuvaa viatu hivi na statement top na skin jeans, she total killed this look.

Well, every woman deserves to own at least two pairs of pumps, ziwe nude, black, white, yellow au rangi nyingine yoyote. Pumps ni kama sneakers zilivyo katika casual wear ila Pumps ni sneakers za Chic Wear.

Related posts