Tulisha wahi kusema hii ndio stylish couple kutoka Tanzania, iwe wawe wametoka pamoja au kila mtu na wakati wake wanajitahidi sana katika swala zima la mavazi, well sote tunajua couples zinapenda kuvaliana, wengi huwa wanaibiana mavazi na kuvaliana lakini kwa Juma Jux na Vanessa wao wameonekana kuibiana accessories.

Jux alikuwa spotted amevaa hizi Chanel Paris sunglasses ambazo alizistyle na white t-shirt na suruali nyeusi akamalizia na colorful kicks na his usual jewelry

Lakini tulimuona Vanessa nae akiwa amevaa miwani hiohio ambapo yeye aliistyle na vest nyeupe yenye wekundu na nyeusi, colorful jacket na akamalizia na short denim hot pant.

Tukaja kumuona tena Vanessa na hizi matrix sun glasses zenye nyeupe na nyeusi ame zistyle na t-shirt nyeupe yenye maandishi mekundu na denim coat amemalizia na layered necklace

Tukaja kumuona Jux nae akiwa amezivaa nyeusi zake na white tee na blue denim trouser.

 

Lakini pia tuwaona wakiwa wamevaa hii beret hat

Juma

Vanessa

Tuambie je wewe ni mpenzi wa kuiba mavazi ya mpenzio? na huwa unaiba nini?

3 Times Juma Jux & Vanessa Mdee Stole Each Other Style

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com