Stella Uzo ni Fashion Blogger kutoka Nigeria, tuna penda jinsi style ana weza ku style kitu chochote na akapendeza beyond mawazo ya mtu, na hizi ni namna nne ambazo Stella ali style sneakers zake tuka penda, na tuka fikiri ku-share na wewe ili uweze kupata idea ya jinsi unavyo weza kuzi style sneakers zako.

Stella ame style white & Grey  sneakers zake na trumpet min skirt nyeupe na gray t shirt.

14591980_337277253298865_7597979605424668672_n

 

pleated skirt zipo in trend kwa sasa, na Stella aliamua ku style skirt hii na black tee  na sneakers nyeupe, very comfortable & stylish

 

pleated-skirt-oversized-boyfirend-denim-jacket-keds-jadore-fashion-blog3 14712386_662505290574727_6979430183665139712_n

 

Hii tumeipenda zaidi, black tutu skirt, off shoulder blouse nyeusi pia na sneakers zenye weupe na weusi. Tume penda jinsi ame pull the outfit together na jinsi alivyo tuonyesha namna ambavyo una weza ku switch outfit hii kutoka kwenye flats hadi heels14727725_199963690445496_8146271247781593088_n holiday-costume-party-tulle-skirt-jadore-fashion-blog5

ya mwisho ni jinsi ame style sneakers na pink suit.

14607098_403547833102781_9024362416502210560_n