Nahreel Na Aika ni wapenzi ambao wanafanya muziki, Nahreel ni Producer, Mwandishi pia ni muimbaji wakati Aika ni Mbunifu, Rapper na anaimba pia kwa pamoja wame unda kundi linalo itwa Navykenzo. Kwanini tumesema kama Beyonce na Jigga? kwa sababu wote wanafanya muziki wana pendana na mitindo yao inaendana.

Wazungu wana sema “The Couple Who Slay Together Stay Together” na ni kweli mifano tumeona kutoka kwa Jay Z na Beyonce, Kanye na Kim Kardaashian, Jada na Willy Smith pia Beckham na Victoria Bekham.

Picha za Nahreel na Aika walizo pendeza zaidi,

1
9
4
7
12
8
2
11
13
AIKA NA NAHREEL KAMA BEYONCE NA JIGGA

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com