Anaitwa Aliya Briliant wengi tunamjua kama @ab_designs_ katika ukurasa wake wa Instagram, Aliyah ni mbunifu lakini pia ni fashionista wa mavazi ya stara. Kwa wale ambao huwa mnalalamika kwa kuto kujua wapi kwa kwenda ku-shop mavazi mazuri ya stara basi Aliyah ni jibu lenu, ana buni abaya, open abaya, magauni ya harusi etc.

Caped Abaya’s

 

Evening/ Wedding dresses

Casual wear

Tunapenda mavazi yake yapo modest lakini pia yana kustiri maungo yako, ukiachana na yeye kubuni lakini pia anapenda fashion, she is a fashionista her self ukiingia kwenye page yake unapata mavazi lakini pia inspiration ya jinsi ya kuvaa mavazi hayo kutoka kwake.

Aliyah In her Own Creation

 

Floral Prints

 

Alivaa hii gauni katika Pink Abaya Event na amesema ilichukua 2hr kuishona, unaweza kumtafuta hata kama umechelewa kupata fundi, she can create magic in few hours

You’l never go wrong with red & Black

Black On Black

Kama umependa kazi zake unaweza kumfollow instagram @ab_designs_

Aliyah Brilliant Ni Mbunifu Lakini Pia Fastionista Wa Mavazi Ya Stara

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com