Mbunifu mkubwa nchini Ally Rehmtullah au fabolous hustler kama ambavyo hupenda kujiita aungana na kinywaji kikubwa kiitwacho Peroni kutafuta vijana ambao wanachipukia katika ubunifu.

ally and hameed ally

Ally akiwa ana thaminisha kazi ya hammed ambae ni mbunifu kutoka morogoro mwenye asili ya zanzibar

FB_IMG_1446115795003

Ally kazini akiwa na moja kati ya vijana hao

 

mgombelwa and ally

Ally akiwa na Mgombelwa mbunifu kutoka morogoro mwenye makazi yake dar es salaam