Mbunifu Ally Rehmtullah ameungana na kinywaji cha peroni kukuletea usiku wa mitindo Tanzania (FASHION NITE TZ), Katika usiku huu kutakua na maonyesho kutoka kwa wabunifu wadogo wanao chipukia ambao wameteuliwa na Ally Rehmtullah na Peroni.

Onyesho hili litafanyika: Ijumaa 27/11/2015

Mahali: Akemi Restaurant

Kiingilio: Bure kabla ya saa Nne usiku na 15000 baada ya saa nne

Wabunifu watakao kuwepo

akemidining_27 (1)

Lavo Delamo Design

 

kwetu49_41

Kwetu 49

two_in_one_accessories_44

 

Two In One Accessory

 

mgombelwabrand_71 (1)

 

Mgombelwa

NA FLORINYA DESIGN

Comments

comments