Darling Hair

Tumezoea kuona wanaume wakivaa head wrap, lakini pia kuvaa scarf kama wakiwa kwenye ndoa au wale waarabuni na kuna namna ambavyo wanavaa.

Lakini seems like rapper ASAP Rocky anataka kuleta trend ya wanaume kuvaa head scarf kama hijab au vvile ambavyo mabibi huvaa kwa kuzungusha scarf kichwani na kuifungia chini ya kidevu

Mwanamuziki huyu ali attend katika  LACMA Art and Film Gala in Los Angeles, akiwa amevalia head to toe Gucci, ambapo alivaa black suit akamalizia muoenekano wake na Gucci loafers ,printed satin robe, miwani na floral-motif scarf.

watu wengi walionekana kupingana na uamuzi wa rapper huyu kuvaa scarf namna hio japo mwenyewe ameonekana kushawishi wanaume wengine wavae scarf, well seems like style imeanza kuingia mtaani as tumemuona Instagram fashion influencer manny_thegoat akiwa amevalia style  hii

tupe maoni yako je ni sawa au si sawa.

Are We Here For Men Wearing Head Scarf?

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com