Balenciaga wame debut new collection ya spring/summer 2018, na kitu ambacho kimevuta masikio na macho ya wengi ni hizi plastic cross walizo zibuni, ni kama yeboyebo hivi lakini zenyewe zina sole ndefu,

gii imetufanya tufikirie utavivaa wapi na wakati Gani? lakini pia we cant wait to see Riri na Gaga rocking them kwa sababu only them can take this risk.

Tuambie wewe unadhani nani anaweza kuvivaa hivi hapa kibongo bongo?

Balenciaga Gone Gaga With This Balenciaga Cross

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com