Ina weza ikawa ndio kitu kinacho waunganisha wasanii wa kiume zaidi kwa sasa, wasanii wetu wengi wa kiume wame onekana kuwa wana vaa bandana katika mitoko yao ya hapa na pale,wachache ndio wanao zivaa vizuri hizi bandana wengi wanaonekana kukosea namna ya kuvaa.

wengi wana vaa katika hali ya uchafu au tuna weza kusema too much, haikatazwi kuvaa bandana lakini imezidi una weza kumuona mtu kama diamond,  ana vaa mara chache chache na ana vaa kiusafi bandana ina Fungwa vizuri na saa nyingine ata ana atch na rangi za nguo zake, tofauti na wengi walio baki

Raymond toa hivo vibandana vyako kichwani hasa hivyo vya maua ua mwishoe nyuki watakung’ata raymond rayvanny

Nuhu ume onekana kama teja na hii bandana yako

nuhu

 

Jux blo u can do better, Hii style haija kufaa kabisa ina bidi mje na kitu kingine AS FASHION COPS hii ni HAPANA KWETU

jux juma jux